Post Preview Image

Diamond Platnumz “Chibu Dangote” Live in Seoul

Summary:

Wakati tukisherekea miaka 55 ya Muungano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na miaka 27 ya Ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na Jamhuri ya Korea, umoja wa Watanzania waishio Korea (TANROK) wanakuletea Diamond Platnumz atakayepiga live katika ukumbi wa Korea University (Hwajung Gynasium Hall) hapo tarehe 27/04/2019. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuitangaza nchi yetu na utamaduni wetu kwa ujumla kipia “Cultural Diplomacy”. “Tanzania tutaendelea kua juu” Tusaidiane kuitangaza, tuwashawishi marafiki zetu kushiriki na tuwe mstari wa mbele kununua ticket. Pata ticket yako kupitia:

 

tanzania embassy, seoul

Address: 4th floor, Vivien Corp. Building 52,Seobinggo-ro 51 gil, Yongsan-gu,
Tel: (+82-2) 793 - 7007, Fax Number : (+82-2) 795 - 8990, E-mail Address: info@tanzaniaembassy.kr

Webmaster & Developer: Gowelle John

Copyright © 2021 Tanzania Embassy, Seoul