Post Preview Image

Mkutano wa TANROK Jimbo La Seoul

Summary:

Viongozi waandamizi wa TANROK wakiongozwa na Mwenyekiti Bw. Sunday Sokoni leo tarehe 20/4/2019 walikutana na Watanzania waishio Seoul kama sehemu ya ziara yao ya Jimbo kwa Jimbo, waliyoianza mara baada yakuingia Madarakani. Mkutano huo uliohudhuriwa pia na Mhe. Balozi Matilda Swilla Masuka ulijadili changamoto mbalimbali na mapendekezo ya jinsi ya kuijenga TANROK na kudumisha ushirikiano baina ya Watanzania huku ugenini.

Picha ya pamoja, Mhe. Balozi Swilla Masuka akiwa na Viongozi wa TANROK na Watanzania waishio Seoul mara baada ya Mkutano uliofanyika Ubalozini leo tarehe 20/4/2019

tanzania embassy, seoul

Address: 4th floor, Vivien Corp. Building 52,Seobinggo-ro 51 gil, Yongsan-gu,
Tel: (+82-2) 793 - 7007, Fax Number : (+82-2) 795 - 8990, E-mail Address: info@tanzaniaembassy.kr

Webmaster & Developer: Gowelle John

Copyright © 2021 Tanzania Embassy, Seoul