Post Preview Image

Uongozi TANROK Majimboni

Summary:

Uongozi mpya wa TANROK ukiongozwa na mwenyekiti Mr. Sunday Sokoni umeanza ziara ya kutembelea Majimbo mbalimbali katika mkakati wa kufahamiana, kusikiliza kero na maoni ili kuboresha TANROK kwa mtazamo wa kuifanya iwe jumuishi na shirikishi.

Uongozi wa TANROK ukiwa na Watanzania waishio Busan na mlezi wa TANROK Mr. Masuka wakati wa ziara ya kutembelea Majimbo ya TANROK hapo tarehe 6/4/2019 katika mkutano uliofanyika Chuo Kikuu cha Pukyong - Busan.

Uongozi wa TANROK ukiwa na Watanzania waishio Daegu wakati wa ziara ya kutembelea jimbo hilo hapo tarehe 6/4/2019.

Balozi wa Tanzania Korea Mhe. Matilda Swilla Masuka akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa TANROK na Watanzania waishio Jimbo la Ansan baada ya kikao cha pamoja cha kufahamiana hapo tarehe 14/4/2019, kujadili fursa na changamoto ili kuijenga TANROK. Mhe. Balozi aliwaasa Watanzania hao kutumia vizuri fursa ya kuwa Korea, kushikamana na kuishi pamoja kama Diaspora na kufuata sheria za wenyeji wetu.

tanzania embassy, seoul

Address: 4th floor, Vivien Corp. Building 52,Seobinggo-ro 51 gil, Yongsan-gu,
Tel: (+82-2) 793 - 7007, Fax Number : (+82-2) 795 - 8990, E-mail Address: info@tanzaniaembassy.kr

Webmaster & Developer: Gowelle John

Copyright © 2021 Tanzania Embassy, Seoul